pmbet

Admin wa Whatsapp auawa kwa kumtoa mtu kwenye Group

Eric Buyanza

March 8, 2025
Share :

Mwanamume mmoja amefunguliwa mashtaka ya mauaji baada ya kudaiwa kumpiga risasi admin wa Group la WhatsApp ambaye alimuondoa kwenye Group hilo, polisi wamethibitisha leo Jumamosi, Machi 8.

 

Mushtaq Ahmed alipigwa risasi na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ashfaq siku ya Alhamisi jioni, Machi 6, huko Peshawar, nchini Pakistan.

Mushtaq (admin) anadaiwa kumuondoa Ashfaq kwenye Group la WhatsApp kufuatia mabishano yaliyoibuka kati yao jambo lililomkera Ashfaq na kujikuta akifanya mauaji

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet