pmbet

Alvarez yupo tayari kurejea timu yake ya utotoni

Sisti Herman

June 9, 2026
Share :

 

Licha ya Atletico Madrid kusema kuwa Julien Alvarez hatoondoka klabuni kwako, taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari imeeleza kuwa mshambuliaji huyo wa timu ya Taifa ya Argentina yupo tayari kujiunga na Real Madrid.

Real Madrid inmeripotiwa kuwa kwenye mchakato wa kuwasilisha ofa maalum kumnasa mshambuliaji huyo ambaye alicheza kwenye Academy yao akiwa na umri wa miaka 11.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet