Klabu ya Simba imemtambulisha kiungo wa kati wa Tanzania Hussein Daudi Semfuko akitokea Coastal Union kwa mkataba wa miaka mitatu hadi mwaka 2028.