Kikwete na Zuhura Yunus kwenye mdahalo Saudi Arabia
Sisti Herman
February 4, 2025
Share :
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Zuhura Yunus walipokuwa wakifuatilia mdahalo katika Mkutano wa Kimataifa wa Soko la ajira unaoendelea jijini Riyadh nchini Saudi Arabia.