pmbet

Klabu za EPL kubaki na wachezaji wao hadi disemba 15 kabla ya AFCON.

Joyce Shedrack

December 2, 2025
Share :

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limezipa vilabu vya Ligi Kuu ya Uingereza wiki ya ziada ili kusalia na nyota wao kabla ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika.
Premier League clubs most affected by AFCON 2025: Ultimate guide

Taarifa zinaeleza kuwa timu hazitalazimika kuwaachilia wachezaji wao hadi Desemba 15 katika kuongeza nguvu kwa wale ambao vikosi vyao vitaathiriwa na kuondoka kwa wachezaji hao nchini Morocco.
 

Takribani wachezaji 45 wa ligi kuu ya Uingereza wanaweza kuondoka kwenye vilabu vyao kwenda kucheza AFCON, itakayoanza Desemba 21.
huku Vilabu vinne pekee Arsenal, Chelsea, Leeds na Newcastle zikiwa hazina wachezaji wowote wanaoelekea kwenye michuano hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet