pmbet

Kocha wa Barcelona ashinda tuzo ya kocha bora wa mwaka.

Joyce Shedrack

June 3, 2026
Share :

Kocha wa Barcelona Hans Flick amefanikiwa kushinda tuzo ya Kocha Bora wa Mwaka wa La Liga mara mbili mfululizo baada ya kutwaa ubingwa wa ligi mara mbili mfululizo pia.

Hansi Flick staying on as Germany coach despite early World Cup exit -  Sportsnet.ca

Barcelona ilipoteza mechi sita pekee kati ya mechi 38 za La Liga na ikaweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza katika historia ya La Liga kushinda kila mechi ya nyumbani katika msimu wa ligi wenye mechi 38. 😲

 

Hansi Flick katika miaka 2 akiwa Barcelona ameshinda mataji matano ambayo ni;

πŸ†πŸ† La Liga
πŸ†πŸ† Supercopa de EspaΓ±a
πŸ† Copa del Rey

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet