Maua Sama alia kuteswa na mapenzi.
Joyce Shedrack
July 31, 2025
Share :
Wahenga wanamsemo unaosema mficha maradhi kifo umuumbua mwanamuziki wa bongofleva Maua Sama ameamua kuvunja ukimya wa kile anachokipitia hivi sasa kupitia ukurasa wake wa Instagram.

"Habari za Muda huu mashabiki zangu ,ndugu na marafiki ni muda sasa napitia kati hali isiyo nzuri kwenye mahusiano yangu,(toxic relationship) Nawekeza muda mwingi kumpenda mtu Nampa kila kitu na lakini sioni matumaini ya kupendwa ,Sijawahi kuwafungukia kuhusu mahusiano yangu ila inafika pahala nanyoosha mikono juu …!! SIWEZI TENA 😭😭😭"





