pmbet

Moto wa Los Angeles kusababisha hasara ya trilioni 130.

Joyce Shedrack

January 10, 2025
Share :

Moto mkubwa unaoendelea katika jiji la pili kwa ukubwa Nchini Marekani Los Angeles unatarajiwa kusababisha hasara ya dola bilioni 52 ambazo ni zaidi ya trilioni 130 ukiwa miongoni mwa majanga makubwa zaidi na ya gharama kubwa zaidi katika historia ya Marekani.

Moto huo ambao umechoma zaidi ya ekari 28,000 na kubadilisha makazi ya maelfu ya watu kugeuka majivu huku mali yakiwemo magari pia kuteketea umezalisha pia athari za muda mrefu ikiwa ni pamoja na madhara kwa afya kutokana na moshi. 

 

Mpaka sasa zaidi ya watu 130,000 wamehamishwa, na watu kumi wamepoteza maisha kutokana na athari za moto huo na Madaraja ya usalama yamewekwa huku juhudi za kuzima moto zikiendelea na misaada ikiombwa kwa walioathirika .

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet