Msiyempenda amesalia Chamazi Ibenge ataendelea kuwakanda hadi 2028.
Joyce Shedrack
June 3, 2026
Share :
Kocha Florent Ibenge raia wa DR. Congo amesaini mkataba mwingine na Azam FC hadi mwaka 2028.
Kocha Ibenge amesaini miaka miwili na Azam FC baada ya kuhusishwa kujiunga na timu ya Taifa ya Mali.





