pmbet

Ng'ombe aweka rekodi kwa kuzalisha lita 343 za maziwa kwa siku 3

Eric Buyanza

November 11, 2025
Share :

Wakati wa maonyesho ya hivi karibuni ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa nchini Brazili, ng'ombe aina ya Girolando aliweka rekodi mpya ya kitaifa nchini humo kwa kuweza kutoa lita 343 za maziwa kwa muda wa siku tatu.

Ingawa majina ya ng'ombe huyo na mmiliki wake havikuwekwa hadharani, lakini alifikia kiwango cha ajabu cha lita 120 za maziwa kwa siku moja tu, akiwa anakaribia kuifikia Rekodi ya Dunia ya Guinness iliyowekwa mwaka 2019 na ng'ombe aitwae Marília FIV Teatro de Naylo, aliyeweza kutoa lita 127.6 kwa siku. 
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet