pmbet

Ronaldo ang'ara ligi kuu Saudia Arabia mechi 60 mabao 60.

Joyce Shedrack

January 10, 2025
Share :

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Ureno na klabu ya AL Nassr Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kufikisha magoli 60 katika michezo 60 aliyocheza ya Ligi Kuu Saudi Arabia tangu ajiunge na klabu hiyo.

Siku ya jana Al Nassr ilicheza mechi yake ya 14 ya ligi kuu Nchini humo na kuibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya AL Okhood huku Ronaldo akiifungia klabu yake goli la 2 kwa mkwaju wa penati.

 

Ronaldo amefikisha mabao 60 na pasi za mabao 15 katika mechi 60 za Ligi Kuu ya Saudi Arabia huku pia akifikisha mabao 917 katika maisha yake ya soka.

 


 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet