pmbet

'Tanzania One’ asajiliwa Simba

Eric Buyanza

September 3, 2025
Share :

Mlinda mlango namba moja wa kikosi cha timu ya taifa Tanzania (Taifa Stars) Yakubu Selemani amesajiliwa na Simba.
 

Simba imefanikiwa kumsajili kipa huyo wa aliyeng’aa na Taifa Stars pamoja na JKT Tanzania kwa mkataba wa miaka miwili.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet