pmbet

Tetesi: Kante aripotiwa kumfuata Ronaldo Al Nassr

Sisti Herman

December 2, 2025
Share :

 

Nyota wa Ufaransa N’Golo Kante ameripotiwa kukaribia kuhamia Al Nassr kutoka kwa wapinzani wao Al Ittihad. 

Hili dili kama endapo litatiki litatikisa Ligi Kuu ya Saudia kwano Kante anakwenda kuungana na nyota kama Cristiano Ronaldo, Sadio Mane.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet