pmbet

Viongozi wa Rwanda na Kongo kukutana na Trump Alhamis

Eric Buyanza

December 2, 2025
Share :

Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku ya Alhamisi hii ili kusaini makubaliano ya amani, Ikulu ya White House imesema.

Mkutano huo unatarajiwa kuboresha makubaliano ya amani yaliyosimamiwa na Marekani mwezi Juni na kutiwa saini na mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo mbili, pamoja na mpango mkakati wa  kiuchumi ulioafikiwa mwezi Novemba. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet