Wamejitahidi kuimba singeli ila hawataweza kunifikia - Dulla Makabila
Eric Buyanza
August 1, 2025
Share :

Msanii mkali wa singeli, Dulla Makabila amewatahadharisha mastaa wa Bongo Fleva ambao kwa nyakati tofauti wamejaribu kufanya muziki wa singeli akisema wasifikiri wataweza kumfunika.
“Mimi niwaambie tu kaka zangu wajipange haswa wasidhani huku kwenye Singeli wataweza kutukimbiza, huku niko mimi Mfalme wa Singeli ambaye nimeshindikana kushushwa cheo changu, na niseme tu wamejitahidi kuimba Singeli ila hawataweza kunifikia mimi.”
MWANASPOTI





