pmbet

14 wafariki baada ya bango la matangazo kuanguka

Eric Buyanza

May 14, 2024
Share :

Takriban watu 14 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India.

Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50 kwa mujibu wa polisi, lilianguka kwenye nyumba na kituo cha petroli siku ya Jumatatu.

Picha za luninga nchini humo zinaonyesha bango kubwa likiyumba kwa upepo kabla ya kuanguka kwenye majengo karibu na barabara yenye shughuli nyingi. 

Magari kadhaa yalipondwa katika ajali hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet