pmbet

20% ya dawa za Saratani Afrika ni 'fake'

Sisti Herman

July 3, 2025
Share :

 

Barani Afrika, dawa za Saratani zimegundulika kuwa Duni au Bandia, hali inayomaanisha kuwa wagonjwa wanapewa dawa ambazo ama hazifanyi kazi au zinaweza hata kuwadhuru.

Takwimu mpya zinaonesha kuwa idadi kubwa ya Watu huenda wanatumia dawa ambazo hazina viambato muhimu vinavyohitajika kuzuia au kupunguza kasi ya Saratani.

Hayo ni kulingana na utafiti uliochapishwa wiki hii na Jarida la 'The Lancet Global Health', uliochunguza sampuli kutoka Hospitali 12 na maduka ya Dawa 25 katika nchi za Ethiopia, Kenya, Malawi na Cameroon.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet