pmbet

25% ya Wahitimu Havard hawana ajira

Sisti Herman

March 9, 2025
Share :

 

 

Asilimia 25 ya wahitimu wa miaka ya hivi karibuni wa chuo kikuu cha usimamizi wa biashara Harvard wamesalia bila ajira miezi kadhaa baada ya kuhitimu, takwimu inayoashiria soko la ajira gumu zaidi kwa programu za wasomi.

Ingawa takwimu za fidia kwa waitimu hao zimeongezeka kwa kiasi kutokana na ongezeko la bonasi zinazobadilika, asilimia ya ofa za kazi na kukubalika imepungua kwa kasi kutokana na ugumu wa soko la ajira.

Wahitimu wengi, ambao wengi wao wana uwez mkubwa kifedha wanachukua mbinu ya kuchagua kuiajiri zaidi huku wakiendelea na utafutaji wao wa majukumu ambayo yanalingana na matarajio yao makubwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet