A$AP Rocky ashangazwa na miuno ya mkewe Rihanna
Eric Buyanza
June 29, 2024
Share :
Wakati wapenzi wa muziki wake wakiendelea kusubiria kazi zake mpya, Rihanna anaamua kumpa Baba watoto wake A$AP Rocky show ya bure kwa kuimba na kucheza wimbo 'TGIF' wa msanii GloRilla.
Hata hivyo A$AP anaonekana akishangaa jinsi mkewe Rihanna anavyojimwaga chini mpaka juu, kuna sehemu A$AP anasikika akisema “Mimi ni mzee sana kwa haya” huku akitikisa kichwa na kuondoka.
Tazama hapo chini