"Abba Music wanachukua asilimia 60 nabakia na 40"
Eric Buyanza
May 1, 2024
Share :
Hit Maker wa wimbo wa #Wololo (@platform_tz) amefafanua jinsi ambavyo mgawanyiko wa pesa ambazo zinaingia kupitia muziki wake na asilimia ambazo anagawana na management yake ya Abbah Music.
Platform anasema management yake inachukua asilimia 60 na yeye anabaki na asilimia 40 na alipoulizwa kwanini uongozi wake unachukua asilimia nyingi, amejibu na kusema kwa sababu wanasimamia vitu vingi.
Full interview ipo tayari kwenye youtube channel yetu; (pmtv tanzania)