Abby Chams alamba shavu PMBET.
Eric Buyanza
June 28, 2024
Share :
Kampuni ya michezo ya kubashiri PMBET imemtambulisha rasmi Abigail Chams kuwa balozi wao mpya.
Mwanamitindo na msanii mdogo ipenzi cha wengi nchini Tanzania, Abigail Chams, Mapema asubuhi ya leo juni 28, 2024,Kampuni ya Pmbet imemtambulisha mrembo huyo,kuwa balozi wao mpya wa kampuni hiyo ikieleza kwa jinsi gani msanii huyo anauwezo wakitofauti na mkubwa wa kushawishi jamii na hivyo basi anaaminika kuipeperusha vyema Pmbet pamoja na kutoa uelewa kwa wachezaji maana halisi ya kubeti ili tuweze kufurahi na kucheza kistaarabu.
Tukumbuke kwamba Pmbet imekuwa kinara kwenye kutoa offer mbalimbali hasa kupitia promotion zake mbili kubwa ya Super Royal Sports na Royal Win PLUS. Ambayo wachezaji wanajishindia bonus pesa taslimu na magari kama IST,Toyota Harrier na Nissan Xtrail.