pmbet

Ademola Lookman aliomba kuondoka Atalanta.

Joyce Shedrack

February 5, 2026
Share :

Kocha mkuu wa Atalanta, Raffaele Palladino amefichua kwamba Ademola Lookman aliomba kuondoka klabuni na kukubali kumuuza Lookman kwa klabu ya Uhispania Atletico Madrid kwa euro milioni 40 wiki hii ambazo ni sawa na Tsh bilioni 121.8.

Palladino Sees Ademola Lookman as Key for Atalanta

Inaripotiwa kwamba Atalanta walikuwa na hamu ya kumshikilia mchezaji huyo wa kimataifa wa Nigeria hadi mwisho wa msimu.
 

Lookman alikuwa na ofa hii kuelekea mwisho wa kipindi cha uhamisho, aliomba kuondoka na alitaka mabadiliko ya mandhari, kwa hivyo klabu ilimfanya afurahi,” Palladino aliambia Sport Mediaset.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet