pmbet

Adidas wazindua chapa ya nguo kwa ajili ya Jude Bellingham 'JB'

Eric Buyanza

July 26, 2024
Share :

Kiungo wa kati Jude Bellingham anakuwa sio tu uso wa Real Madrid na timu ya taifa ya Uingereza lakini pia mtu muhimu kwenye biashara ya mavazi.

Hilo limethibitishwa baada ya Adidas kuzindua mavazi maalum yenye herufi za mwanzo za mwanasoka huyo mwenye umri wa miaka 21. 

Chapa hiyo ya mavazi ya michezo kutoka Adidas imepewa jina la "JB".
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet