pmbet

Aenda Jela mwaka mmoja kwa kosa la kujinenepesha

Eric Buyanza

December 11, 2024
Share :

Kijana wa miaka 26 huko Korea Kusini hivi majuzi alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kula kupindukia kwa makusudi ili anenepe kisha aonekane hana vigezo vya kuingia jeshini jambo ambalo ni la lazima kwa nchi hiyo.

Kupitia jeshi si jambo dogo nchini Korea Kusini. Haijalishi wewe ni mwanamuziki maarufu, mwigizaji mkubwa au bilionea; kama wewe ni mwanaume na una afya njema na una umri kati ya miaka 18 hadi 35, basi unapaswa kutumikia jeshi angalau kwa miezi 21.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet