Aendesha Baiskeli Morocco - Ivory Coast kisa Afcon
Sisti Herman
January 8, 2024
Share :
Shabiki wa timu ya Taifa ya Morocco amesafiri kwa baiskeli kutoka Morocco hadi Ivory Coast kuipa sapoti timu yake ya Taifa.
Safari ya shabiki huyu ametumia miezi minne na sasa yupo San Pedro eneo ambalo Timu ya Taifa ya Morocco itaweka kambi.