Afanyiwa upasuaji kubadilisha sura ili afanane na paka
Eric Buyanza
March 30, 2024
Share :
Jocelyn Wildenstein kwa jina la utani (Cat Woman) wa nchini Marekani alifanyiwa upasuaji kwenye sura yake zaidi ya mara 24 ilimradi aweze kufanana na paka.
Jocelyn aliamua kufanya upasuaji huo ili kumfurahisha mume wake aliyekuwa anapenda sana wanyama jamii ya paka.
Hata hivyo pamoja na jitihada zote hizo alizofanya bado mume wake alimsaliti na kwenda kuoa mwanamke mwingine.