Afcon ya maajabu, wakubwa wote chali
Sisti Herman
January 31, 2024
Share :
Kwa mara ya kwanza michuano ya kombe la mataifa Afrika (AFCON 2023) makala ya 33 zinaandika rekodi mpya zenye msisimko wa aina yake ambayo huendelea kufanya kuwa michuano pendwa zaidi.
Hizi hapa rekodi mbalimbali ambazo zinasisimua;
Timu bora Afrika kwa mujibu wa viwango vya ubora wa FIFA (FIFA RANKINGS)
1. Morocco
2. Senegal
3. Tunisia
4. Algeria
5. Egypt
Timu hizi zote zimeaga mashindano kabla ya Robo fainali, AWESOME
1. Morocco - round of 16
2. Senegal - round of 16
3. Tunisia - Group stage
4. Algeria - Group stage
5. Egypt - round of 16
Timu zilizoingia robo fainali 2021
1. Morocco
2. Senegal
3. Tunisia
4. Cameroon
5. Burkinafaso
6. Eq. Guinea
7. Gambia
8. Egypt
Timu zilizoingia robo fainali 2023
1. Cape Verde
2. South Africa
3. DR Congo
4. Guinea
5. Mali
6. Ivory Coast
7. Nigeria
8. Angola
Anguko la wakubwa
- Timu zote zilizoingia robo fainali 2021, hazijafuzu 2023
- Timu zote zilizoingia robo fainali 2023, hazikufuzu 2021
Anguko la wakubwa limetokana na nini? Tupe maoni yako