Aggy Baby aupa wiki mbili uhusiano wa Harmonize na Poshy, asema lazima uvunjke!
Joyce Shedrack
March 25, 2024
Share :
Msanii wa muziki Aggy Suleiman maarufu kama Aggybaby ameishushia kichambo couple ya Harmonize na Poshy Queen na kusema couple hiyo inaboa,imepoa na hawawezi kufika mbali.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.