Agrey kocha mkuu Pan African
Sisti Herman
January 21, 2024
Share :
Gwiji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Nahodha wa Klabu ya Azam Agrey Moris ameteuliwa kuwa kocha Mkuu wa Pan African FC inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania " championship ".
Agrey kabla ya kutambulishwa na Pan African hivi karibuni aliwahi kuhudumu katika Benchi la ufundi la Azam FC .