pmbet

Ahaaa...! Kumbe Familia Mbowe na Lissu kwenye nyuso za furaha.

Joyce Shedrack

January 10, 2025
Share :

Wagombea wa nafasi za juu katika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wakiwa pamoja katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kinachoendelea katika ofisi za Makao Makuu Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa.


Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Taifa Freeman Mbowe akiwa pamoja na mgombea mwenzake wa nafasi hiyo Tundu Lissu wakiwa na furaha pamoja,ikumbukwe wawili hao bado ni viongozi wa chama hicho.

Picha ya pili ni wagombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa John Heche na Ezekia Wenje wakiwa wamekaa pamoja licha ya kila mmoja kutangaza nia ya kugombea nafasi hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet