pmbet

Ahadi ni deni, Je Lamine Yamal kufuga ndevu na masharubu?

Eric Buyanza

July 20, 2026
Share :

Itakumbukwa mwezi June kupitia chaneli yake ya YouTube, nyota wa Hispania Lamine Yamal alitoa ahadi kuwa ikiwa nchi yake itafanikiwa kutwaa kombe la dunia basi angefuga ndevu na masharubu.

 

Sasa baada ya Hispania kufanikiwa kulitwaa taji hilo, mashabiki wa soka wameanza kuulizia na wanasubiri kuona kama atatekeleza ahadi yake.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet