pmbet

Ahmed Ally kuwaongoza mashabiki wa Simba Queens Dodoma leo

Eric Buyanza

November 4, 2026
Share :

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally leo jioni anatarajiwa kuwaongoza mashabiki wa timu hiyo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake utakaozikutanisha timu za Fountain Gate na Simba Queens.

 

Mchezo huo utachezwa Saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma na unatarajiwa kuhudhuriwa na baadhi ya viongozi wengine wa timu hiyo.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet