Aingia kwenye rekodi za dunia kwa kubusu watu 11,030
Eric Buyanza
February 4, 2025
Share :
Septemba 12, mwaka 1998 jamaa aliyefahamika kwa jina la Alfred Wolfram aliingia kwenye rekodi za dunia za Guiness kwa kuwabusu jumla ya watu 11,030 kwa masaa 8 tu kwenye Tamasha lililofanyika Minnesota nchini Marekani.
Kwa hesabu za haraka Bwana Alfred alikuwa akibusu zaidi ya watu 16 kwa dakika.
Kwa baadhi ya watu, hili lilikuwa jambo la kushangaza lakini kwa wengine lilikuwa ni jambo la kipekee na la kuvutia.