pmbet

AIR Tanzania kuwarejesha nyumbani Watanzania waliokwama Dubai.

Joyce Shedrack

March 6, 2026
Share :

Shirika la ndege Tanzania Air Tanzania limetangaza kuwarejesha nyumbani raia wake walioathiriwa na hatua ya kusitishwa kwa safari za ndege kufuatia mgogoro uliozuka eneo la Mashariki ya Kati baada ya Marekani na Israel kuishambulia Iran na kumuua Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei mwishoni mwa wiki iliyopita.
Nigeria grants Air Tanzania operational permit, paving way for direct  flights – The BizLens
Taarifa iliyotolewa siku ya leo na shirika hilo imesema ndege hiyo maalum itasafiri kutoka Dar es Salam kuelekea Dubai na kurejea Dar es Salaam siku ya Jumapili.

Air Tanzania imesisitiza kuwa safari hiyo sio ya kibiashara na kuongeza kwamba itawapatia kipaumbele wasafiri ambao walikuwa wamekata tiketi kabla ya safari kusitishwa.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet