Ajax wakabiliwa na ushindani kumchukua handerson
Eric Buyanza
January 10, 2024
Share :
Ajax Amsterdan wana nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Uingereza Jordan Henderson kutoka klabu ya Al-Ettifaq ya Saudi Pro League.
Hata hivyo Ajax kwasasa wanakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa vilabu vya Premier League na Bundesliga vinavyohitaji huduma ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33.