Ajiua kwa kujirusha Darajani kisa maumivu ya jino
Eric Buyanza
May 11, 2024
Share :
Mwaka 1964 mwanaume aliyefahamika kwa jina la John Thomas Doyle, alijiua kwa kujirusha kutoka kwenye Daraja la Golden Gate nchini Marekani.
Kilichowashangaza wengi ni ujumbe aliouacha baada ya kujiua, ulisomeka hiviii:
"Sina sababu yoyote isipokuwa maumivu ya jino"