pmbet

Akili sio kimo, naamini katika mbinu na akili - Dickson Job

Eric Buyanza

November 29, 2024
Share :

Beki kisiki wa Yanga, Dickson Job siku zote amekuwa bora eneo analocheza, hata hivyo mengi yamekuwa yanazungumzwa juu ya kimo chake na nafasi ya beki wa kati anayocheza, lakini mwenyewe anasema hajawahi kuumizwa na kauli hiyo na wala haijampunguzia kasi ya kupambana.

 

“Kama kimo kingekuwa ni kipimo cha uchezaji basi mimi sina cha ziada zaidi ya akili ambayo naitumia kwenye uchezaji wangu, kuna wachezaji warefu lakini hawana kipaji cha kufanya vizuri naamini katika mbinu na akili,” anasema.

 

👉MWANASPOTI

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet