pmbet

Al Ahly watuma salamu za 5G kwa Yanga

Sisti Herman

February 28, 2024
Share :

Klabu ya Al Ahly inayojiandaa na mchezo wa raundi ya 6 kundi D kwenye hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani dhidi ya klabu ya Yanga jana imecheza mchezo wa ligi kuu nchini Misri dhidi Baladiyet El Mahallah huku wakishinda 5-1.

 

Mchezo huo ni wa mwisho kabla hawajakutana na Yanga ijumaa hii mchezo utakaochezwa saa 1 usiku kwa saa za Afrika mashariki kwenye dimba la Cairo International Stadium.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet