Al Ahly watwaa Ubingwa wa Afrika kwa mara ya 11
Sisti Herman
May 26, 2024
Share :
"Al Ahly kwa hivi walivyocheza na Simba wapo unga sana"
Hiyo ilikuwa nukuu ya mmoja kati ya wachambuzi wa vipindi vya michezo nchini baada ya Al Ahly kucheza dhidi ya timu za Tanzania na kutoshinda kwenye dimba la Benjamin Mkapa.
Al Ahly jana wametwaa Ubingwa wa Afrika kwa mara ya 11 baada ya kuwafunga Esperance De Tunis goli 1-0 kwenye dimba la Cairo International Stadium, jijini Cairo nchini Misri.