pmbet

Al ahly waunga mkono juhudi za rais wa Yanga, wajiunga na ACA

Eric Buyanza

October 30, 2026
Share :

Vigogo wa Soka la Afrika, timu ya Al Ahly SC kutoka nchini Misri jana  ilitangazwa rasmi kuwa imejiunga na chama cha vilabu vya Soka Barani Afrika (ACA).

ACA ni chama kipya kilichoundwa chini ya ushirikiano wa CAF na FIFA kwa ajili ya kuvilinda, kuvitetea na kuleta umoja miongoni mwa vilabu vya soka barani Afrika.

 

Chama hicho kinaongozwa na Mwenyekiti Mhandisi Hersi Said, ambaye pia ni Rais wa Yanga kutoka nchini Tanzania.

Vilabu vingine vilivyojiunga na chama hicho ni Al Hilal Omdurman, Mamelod Sundowns, Wydad Casablanca na vinginevyo.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet