pmbet

Al Hilal yatuma ofa nono kwa Watkins

Sisti Herman

August 18, 2026
Share :

 

Al Hilal imewasilisha ofa rasmi kwa Aston Villa yenye thamani ya jumla ya €45M ili kujaribu kumsajili Ollie Watkins.

 

Inafahamika kuwa Watkins ana hamu kubwa ya kujiunga na Al Hilal na kuhamia Saudi Arabia katika dirisha hili la usajili, huku mazungumzo yakitarajiwa kufuata hivi karibuni.

 

Awali, Aston Villa ilikuwa imekataa ofa mbili kutoka kwa Al Hilal.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet