pmbet

Alaba ndio basi tena msimu huu

Sisti Herman

December 18, 2023
Share :

Taarifa mbaya kwa mashabiki wa Real Madrid ni kuhusu jeraha alilopata beki wao raia na mchezaji bora wa mwaka mara 8 mfululizo wa taifa la Austria David Alaba aliyeumia kwenye mchezo dhidi ya Villareal.

 

Alaba kipindi cha kwanza dhidi ya Villareal alipata jeraha la goti na sasa imetoka taarifa rasmi kuwa ukubwa wa jeraha lake unaweza kumuweka nje ya uwanja kwa zaidi miezi 7 ijayo na hivyo ni rasmi kuwa atakosa mechi zilizobaki zote msimu huu.

 

Real Madrid ambayo haikuwa na mpango wa kusaini mchezaji yeyote kwenye dirisha hili la Januari sasa italazimika kusaka beki wa kati kwaajili ya kuziba pengo la Alaba ambaye anaungana na nyota wengine wa Madrid wenye majeraha ya muda mrefu kama Thibout Cortous na Eder Militao.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet