pmbet

Alama 3 za kwanza Kombe la Dunia zimetetewa na timu 2 tu.

Joyce Shedrack

June 18, 2026
Share :

Michezo ya kwanza ya Kombe la Dunia kwa timu zote mbili imemalizika huku timu 2 pekee za bara la Afrika zikifanikiwa kuibuka na ushindi na timu 4 zikipata sare pamoja na kipigo kwa timu 4.

 

Timu za Afrika zilizoanza na ushindi ni

1-0 Ghana šŸ‡¬šŸ‡­
1-0 Ivory Coast šŸ‡ØšŸ‡®

Ghana beat Panama 1–0 in chaotic World Cup Group L match | World Cup 2026  News | Al Jazeera

Zilizopata sare 

1-1 Morocco
1-1 Egypt šŸ‡ŖšŸ‡¬
1-1 Congo DR šŸ‡ØšŸ‡©
0-0 Cape Verde šŸ‡ØšŸ‡»
 

Zilizoambulia kipigo 
āŒ5-1 Tunisia šŸ‡¹šŸ‡³
āŒ3-1 Senegal šŸ‡øšŸ‡³
āŒ2-0 South Africa šŸ‡æšŸ‡¦
āŒ3-0 Algeria šŸ‡©šŸ‡æ

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet