pmbet

Album ya Kanye West kutoka Ijumaa hii

Eric Buyanza

December 12, 2023
Share :

Rapa kutoka nchini Marekani Kanye West "YE" amethibitisha rasmi kuwa Album yake ya pamoja na Ty Dolla Sign iitwayo "Vultures" yenye jumla ya nyimbo 17 kama Everybody, Newbody na zingine itatoka ijumaa hii ya tarehe 15.12.2023.
 

Ikumbukwe Album ya mwisho kutikisa ya YE ilikuwa "DONDA" ikauza nakala nyngi sana kwenye mitandao mbalimbali na kushika nafasi za juu kwenye orodha mbalimbali

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet