pmbet

Alexander Isak anaweza kucheza leo dhidi ya Chelsea - Arne Slot

Eric Buyanza

May 9, 2026
Share :

Kocha wa Liverpool Arne Slot amethibitisha kwamba mshambuliaji Alexander Isak anaweza kurejea kwenye kikosi cha Liverpool leo Jumamosi kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya Chelsea.
 

Isak alikosa mchezo waliopoteza 3-2 dhidi ya Manchester United kutokana na jeraha dogo lakini yuko tayari kucheza dhidi ya Chelsea baada ya kurejea kwenye mazoezi ya timu siku ya Alhamisi.

 

Liverpool wanaendelea kuwakosa Mohamed Salah na mlinda mlango Alisson Becker, ambao wote wanaendelea kupata nafuu kutokana na matatizo ya misuli.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet