pmbet

Alhy, Sundowns, Mazembe na ES Tunis, Je nani Bingwa wa Afrika?

Sisti Herman

April 7, 2024
Share :

Baada ya jana Asec Mimosas pamoja na Petro Atletico De Luanda kuungana na Simba na Yanga kuaga michuano ya ligi ya mabingwa Afrika kwenye hatua ya robo fainali ni rasmi sasa mbio za kuwania taji hilo zimesalia kwa miamba minne Al Ahly, Mamelodi Sundowns, Es Tunis na TP Mazembe.

 

Hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo itashuhudia Es Tunis wakicheza dhidi ya Mamelodi Sundowns huku mabingwa wa kihistoria wa taji hilo Al Ahly wakicheza na mabingwa mara 5wa taji hilo TP Mazembe.

 

Je unadhani nani anaenda kuutwaa ubingwa huo kati ya miamba hiyo minne?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet