pmbet

Alikumbatia bomu AKAPONA, Parachuti ikamgomea kufunguka AKAPONA

Eric Buyanza

May 21, 2024
Share :

#JeWajua Captain Jack Harold Lucas aliyekuwa mwanajeshi wa Marekani, historia yake imegubikwa na simulizi za kustaajabisha sana, huyu mwamba mwaka 1945 akiwa vitani nchini Japan aliwaokoa wanajeshi wenzake baada kukumbatia bomu lililorushwa ili wenzie wapone, na yeye AKAPONA.
 

Mwaka 1961 alianguka kutoka angani baada ya parachuti kugoma kufunguka, AKAPONA. Mwaka 1977 aliyekuwa mke wake alimlipa mtu ili akamuue, na hii nayo akachomoka mzima. Hata hivyo alikuja kufariki mwaka 2008 akiwa na miaka 80.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet