pmbet

Alimpiga mpizani wake ngumi 15 na akamaliza pambano kwa sekunde 11

Eric Buyanza

July 24, 2024
Share :

Mwaka 1962, Bruce Lee alimpiga mpinzani wake ngumi 15 na teke moja tu na kumaliza pambano lililochukua sekunde 11 pekee.

Lee alizaliwa mwaka 1940 huko San Francisco nchini Marekani na kukulia Hong Kong. 

Alifariki mwaka 1973 kutoka na uvimbe kwenye ubongo uliosababishwa na athari za dawa za maumivu ya kichwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet