pmbet

Aliyejibadilisha jinsia na kuwa 'mwanamke' aenda jela miezi 6, atupwa gereza la wanaume

Eric Buyanza

April 12, 2024
Share :

Idris Olanrewaju Okuneye, maarufu kwa jina la 'Bob Risky', mwanaume wa Nigeria aliyejibadilisha jinsia na kuwa mwanamke, amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la "kuchezea vibaya pesa ya Nigeria". 

Kutupa pesa juu ni kama ishara ya shukrani inayofanywa kwenye harusi na sherehe nyingi za Nigeria. 

Wataalam wa mambo ya sheria wanasema kuchezea pesa kwa namna hiyo ni kosa kisheria kwakuwa pesa hizo zinapoanguka hukanyagwa. Kabla ya kuhukumiwa alikiri mbele ya mahakama kuwa yeye ni mwanaume, na hivyo anapelekwa kwenye gereza la wanaume.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet