pmbet

Aliyeokoa mamia kwenye shambulizi Urusi akataa zawadi ya fedha

Sisti Herman

April 1, 2024
Share :

Kijana Alexander Zhurik mwenye umri wa miaka 16 ambaye aliwakoa raia kwenye shambulizi la kigaidi kwenye ukumbi wa Crocus jijini Moscow nchini Urusi amekataa zawadi ya fedha taslimu Rubles milioni moja (sawa na milioni 25 za Tanzania) alizozawadiwa na serikali.

Kijana huyo ambaye alikuwa mhudumu wa chumba cha nguo alifanya wokozi kwa kuwaelekeza njia ya kutoka nje ya jengo kwa harakana kuokoa raia wengi alikataa fedha hizo kwakudai kuwa alikuwa akitimiza majukumu yake kama mmoja wa wafanyakazi wa jengo hilo pia kama Mzalendo kwa nchi yake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet